Thursday, October 2, 2014

AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA MASASI - 1/10/2014

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya masasi anatangaza nafasi za kazi kwa raia wa  wa Tanzania wenye sifa kama ifuatavyo:-
KATIBU MUHTASI III (NAFASI 3)
SIFA:
•    Awe  amehudhuria mafunzo ya  uhadhili na kaufaulu mtihani wa hatua ya tatu.
•    Awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
•    Awe amepata masomo ya  kompyuta katika chuo kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika program za windows, Microsoft office, internet,E-mail na publisher.
MSHAHARA:
•    Mhahara ni  katika ngazi ya mshahara ya TGS B
MAJUKUMU
•    Kuchapa barua  taarifa na nyaraka za kawaida
•    Kusaidia kupokea wageni.
•    Kusaidia kutuinza taarifa na kumbukumbu za matukio, miadi ya wageni n.k
•    Kusaidia na kumpatia mkuu wake majarada na nyaraka nk.
•    Kutekereza shughuli zote atazopangiwa na simamizi wake wa kazi.
 MASHARTI  YA JUMLA.
•    Awe raia wa  Tanzania.
•    Awe na elimu ya kidato cha nne au sita.
•    Awe na umri usiozidi miaka 45.
•     Awe na akili timamu.
 NAMNA YA KUTUMA MAOMBI.
Maombi yatumwe kwa :-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
S.L.P 60
MASASI
Mwisho wa kutuma maombi tarehe 10/10/2014 saa 9:30  alasili maombi yaambatanishwe na nakala za vyeti ya shule na vya chuo CV na vyeti vya kuzaliwa.
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
MASASI
CHANZO: GAZETI LA MAJIRA LA TAREHE 1 OKTOBA 2014.
=============

 1.3 DEREVA II (NAFASI 1)
SIFA
•    Awe na leseni daraja la C ya uendeshaji na  uzoefu wa kuendesha magari usiopungua miak 3 bila kusababisha ajali.
•    Awe na cheti  chha  majaribio ya ufundi daraja la II.
MAJUKUMU
•    Kuendesha magari ya abiria na maroli
•    Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari kabla  na baada ya kusafiri ili kugundua ubovu unaohitajika matengenezo.
•    Kufanya  matengenezo madogomadogo katika gari.
•    Kutuza na kuandika daftari la safari log book kwa safari zote.
 MASHARTI  YA JUMLA.
•    Awe raia wa  Tanzania.
•    Awe na elimu ya kidato cha nne au sita.
•    Awe na umri usiozidi miaka 45.
•     Awe na akili timamu.
 NAMNA YA KUTUMA MAOMBI.
Maombi yatumwe kwa :-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
S.L.P 60
MASASI
Mwisho wa kutuma maombi tarehe 10/10/2014 saa 9:30  alasili maombi yaambatanishwe na nakala za vyeti ya shule na vya chuo CV na vyeti vya kuzaliwa.
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
MASASI
CHANZO: GAZETI LA MAJIRA LA TAREHE 1 OKTOBA 2014.
You might also like:

No comments:

Post a Comment